Kikundi cha burudani ya
Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya
kikitoa igizo lake la kuchekesha mbele ya washiriki mbalimbali wa Tamasha la
Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka nchi wanachama wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.
Kikundi cha Sanaa cha Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni Tanzania (TaSUBA) kikionyesha igizo lake mbele ya washiriki
mbalimbali toka nchi wanachama wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika
Mashariki (JAMAFEST) ambapo igizo hilo likimaanisha namna gani nchi hizo
zinavyopaswa kuonyesha ushirikiano wa karibu katika masuala mbalimbali kwa
manufaa ya nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini
Kampala, Uganda.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM, KAMPALA-UGANDA)
0 Comments