Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe,
wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances
Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya
Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto)
akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha
Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia
Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na
Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Masebe Rungwe, wakicheza
jukwaani wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Keifo Kyela, wakishambulia
jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa
wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Majaji wa shindano la ngoma Tamasha la Tulia Traditional Dances
Festival 2017, wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani
wakati wa Tamasha hilo kwenye Uwanja wa Tandale, Tukuyu. Picha na
Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe,
wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances
Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya
Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa kundi la kughani mashahiri ya Asili, Mwandurusa
kutoka Kyela, wakighani mashahiri yao jukwaani wakati wa Tamasha hilo.
Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia)
akiwaongoza baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati
wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mwanadada maarufu wa kuchezea mpira,Hadhara Charles, akionyesha
umahiri wake jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimtunza fedha
mwanadada, Hadhara Charles, maarufu wa kuchezea mpira,baada ya kuonyesha
umahiri wake jukwaani katika Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro,
wakicheza ngoma yao ya asili wakati wa Tamasha la Tulia Traditional
Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin
Sufiani

0 Comments