Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Mhe. Augustino Manyanda Masele (wa pili
kulia waliokaa) wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wabunge iliyofanyika jana
katika Jiji la Fuzhou nchini China. Ujumbe huo uko nchini China kwa wiki mbili
kwenye ziara ya mafunzo yaliyoandaliwa na Wizara ya Biashara ya nchi hiyo.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments