Mhasibu wa
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Elizabeth Urassa, akichangia mada wakati
wa mafunzo kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma
yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini
Dar es Salaam.
Afisa Utumishi
Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila
Mavika akifafanua Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma kwa
watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili
na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi
ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mhasibu wa Mamlaka
ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Magreth Semiono, akichangia mada wakati wa mafunzo
kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma
yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini
Dar es Salaam.
Afisa Utumishi
Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila
Mavika akisisitiza jambo kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma kwa watumishi
wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) (hawapo pichani) wakati wa mafunzo kuhusu Maadili
na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na Ofisi
ya Rais-Utumishi kwa watumishi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.

0 Comments