Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini
India katika mkutano wa pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili, kulia ni
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji Aristides Mbwasi.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) wakati akitoa taarifa ya ziara yake nchini
India katika mkutano wa pamoja wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.
Picha na Eliphace Marwa - MAELEZO


0 Comments