Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akiwa katika kikao kifupi na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya
kuapishwa IKULU jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Watendaji walioshiriki kikao cha
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakipokea maelekezo kuhusu masuala
mbalimbali kuhusu utumishi wa umma nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akiongoza kikao chake cha kwanza mara baada ya kuapishwa mapema leo IKULU jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akisisitiza jambo wakati wa kikao na Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya kuapishwa IKULU jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, Mhe.
George H. Mkuchika (Mb) kuongea na baadhi ya Watendaji wa ofisi yake jijini Dar
es Salaam.

0 Comments