Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la
Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa
mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki
(TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Tabora Paul Ruzoka akiaga mwili
wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa
la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa Rais Ngusa Samike akiaga mwili wa
Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa
la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya Mapadri nao wakipita mbele kuaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la
Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa
mara baada ya Misa katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Jeneza
lenye mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na
Mapadri wakielekea ndani ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Viongozi
mbalimbali, Mapadri, Maaskofu pamoja na waamini wa Kanisa Katoliki wakiwa
katika misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika Kanisa la
Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la Dodoma
Beatus Kinyaiya akizungumza kabla ya kuaga mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa
Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul
Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Waumini
wa kanisa Katoliki wakiwa katika Ibada ya kumuombea Marehemu katika Kanisa hilo
jijini dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano katika Baraza la Maaskofu Tanzania Benard James akizungumza mara
baada ya Misa hiyo.
Picha na Mpiga Picha
wetu.











0 Comments