Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akizungumza na
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) kabla ya kufungua
mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe. Dkt. John Magufuli akijadiliana
jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Rodrick Mpogolo
kabla ya kufungua mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) wakipiga makofi mara
baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) Rais Mhe Dkt. John
Magufuli kuwasili ukumbini hapo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akipiga makofi
mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Wajumbe wa Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiendelea na Kikao jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA IKULU











0 Comments