Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp.
Profesa John L. Thornton akiwa na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold
Richardc William huku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba
Kabudi na Florens Luoga nao pia wakiweka saini ripoti ya makubaliano
baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu
bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya
Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini
Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L.
Thornton wakimsikiliza Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba
akitoa muhtasari wa ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali
na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu
jijini Dar es salaam Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp.Profesa
John L. Thornton alipokutana nae wakati wa kupokea ripoti ya makubaliano
baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold
kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William na
maafisa waandamizi wa kampuni hiyo baada ya kupokea ripoti ya
makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick
Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 19,
2017
PICHA NA IKULU








0 Comments