Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi
mbalimbali akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi kuashiria ufunguzi wa wa
Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya
kufungua daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Sehemu
ya wananchi waliohudhuria ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha
jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi kabla ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini
Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya
ufunguzi wa daraja hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu kutoka chama cha CUF Zuberi
Kuchauka mara baada ya kuhutubia wananchi katika eneo la Furahisha jijini
Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma
na kikundi cha ngoma za asili cha jijini Mwanza mara baada ya ufunguzi wa
daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
pamoja na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa wa daraja la
Waenda kwa miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwaaga wananchi katika eneo la Daraja la Furahisha
jijini Mwanza mara baada ya ufunguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wananchi wakati akiwaaga mara baada ya ufunguzi wa Daraja hilo la
Furahisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiwapungia mkono wananchi waliopo chini ya Daraja la Furahisha(hawaonekani
pichani ) Mara baada ya ufunguzi wa daraja
hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakipanda ngazi za Daraja hilo jipya la Furahisha jijini
Mwanza.
Sehemu ya Daraja la Furahisha.
PICHA NA IKULU

















0 Comments