Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Nyakato nje
kidogo ya jiji la Mwanza mara baada ya kufungua kiwandaa cha Sayona Drinks ltd
kilichopo Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini wimbo wa kwaya
ya Makongoro kabla ya kuhutubia mamia ya wananchi Nyakato mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja
mbunge wa Ilemela Angelina Mabula wakati Kwaya ya Makongoro ilipokuwa
ikitumbuza katika viwanja vya Mwatex Nyakato jijini Mwanza
Kwaya ya Makongoro
ikitumbuiza
Sehemu ya umati wa wananchi
waliohudhuria mkutano huo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
John Pombe Magufuli katika eneo la Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Katikati ya
jiji la Mwanza wakati akitokea Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wananchi wa Nyakato mara
baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati mmiliki wa
Kiwanda cha Sayona Drinks Subhas Patel alipokuwa akionesha bidhaa mojawapo ya
kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wananchi wa Nyakato mara
baada ya kuwahutubia.
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuagana na Wananchi wa Nyakato mara baada ya kumaliza kuwahutubia. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akifungua kiwanda cha Sayona Drinks kilichopo Nyakato jijini Mwanza.
PICHA NA IKULU













0 Comments