Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia
ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles Senkondo akieleza kuhusu utendaji wa taasisi
anayoiongoza wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika
(Mb) aliyoifanya Oktoba 18,2017 jijini Dar es Salaam.
Afisa kutoka Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya
Mtandao (TaGLA) akiwasilisha mada kuhusu kazi na mafanikio ya wakala wakati wa
ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) katika wakala hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akifuatilia mada iliyowasilishwa kuhusu kazi na mafanikio ya TaGLA alipofanya
ziara ya kikazi katika Wakala hiyo mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia kwake
ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bi. Susan P. Mlawi,
na Kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa TaGLA, Bw. Charles Senkondo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akisisitiza jambo wakati akizungumza na Watumishi wa TaGLA jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akipata maelezo kuhusu mifumo ya TEHAMA inavyofanya kazi wakati wa mikutano ya
kieletroniki (Video Conference) katika ofisi za TaGLA wakati wa ziara ya kikazi
aliyoifanya jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akipokea
taarifa (nakala ngumu na laini) zenye shughuli zinazofanywa na Wakala ya
Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala hiyo,
Bw. Charles Senkondo baada ya kumaliza ziara ya kikazi katika wakala hiyo mapema
leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe.
George H. Mkuchika (Mb) akipokewa na watumishi wa Bodi ya Mishahara na Masilahi
katika Utumishi wa Umma alipofanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo jijini Dar es Salaam
Sehemu ya watumishi wa Bodi ya Mishahara na
Masilahi katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika
(Mb) wakati wa kikao kazi katika ofisi za Bodi hiyo mapema leo jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mishahara na Masilahi
katika Utumishi wa Umma, Bw. Donald Ndagula akitoa neno la shukurani kwa Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu)
Mhe. George H. Mkuchika (Mb) mara baada ya Waziri kumaliza kuzungumza na
watumishi wa bodi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akijionea utunzaji wa kumbukumbu alipofanya ziara ya kikazi katika Ofisi ya
Idara ya Kumbumbuku na Nyaraka za Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb)
akipokea nyaraka mbalimbali zinazohusu utunzaji wa kumbukumbu kutoka kwa Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Charles Magaya
katika ofisi za Idara hiyo, jijini Dar es Salaam

0 Comments