Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza alipokuwa
akifungua kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa
Tanzania (TFDA) ambayepia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi za Udhibiti Dawa
Afrika Mashariki Hiiti Sillo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa
kikao kazi cha wataalam toka taasisi hizo leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha wataalam
toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki (EAC) wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya leo jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akifuatilia
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Dkt. Hiiti Sillo (hayupo pichani) wakati
wa kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mdhibiti wa Dawa kutoka Jumuiya ya
Afrika Mashariki na Wizara ya Afya nchini Rwanda Alex Gisagara na Kamishna wa Huduma za Famasi toka Uganda Seru
Morries.
Afisa Msajili wa Dawa wa Mamlaka ya Chakula na
Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Shani Maboko akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha wataalam
toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya(katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na washiriki wa kikao kazi cha wataalam
toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija - MAELEZO






0 Comments