Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira Na Walemavu Jenista Mhagama
akiambatana na Makamishna, Maafisa na Askari kuelekea Ofisi za Kituo cha
Zimamoto Mkoa wa Ilala mara baada ya kuwasili Kituoni hapo kwa ajili ya kukagua
Mradi wa Uboreshaji wa Taarifa za Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Mifumo ya
utolewaji wa tahadhari za awali (DARMAERT), mapema leo asubuhi tarehe
17/10/2017.
Kamishna wa Operesheni
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage akitoa taarifa fupi juu ya utendaji
wa Jeshi hilo mara baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira Na Walemavu Jenista Mhagama kuwasili Kituo cha Zimamoto na
Uokoaji Mkoa wa Ilala, kwa ajili ya kukagua Mradi wa Uboreshaji wa Taarifa za
Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Mifumo ya utolewaji wa tahadhari za awali
(DARMAERT), mapema leo asubuhi tarehe 17/10/2017.
Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama
akizungumza na Makamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Uongozi wa
Darmaert, mara baada ya kuwasili Kituo cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala,
kwa ajili ya kukagua Mradi wa Uboreshaji wa Taarifa za Mabadiliko ya Tabia ya
Nchi na Mifumo ya utolewaji wa tahadhari za awali (DARMAERT), mapema leo
asubuhi tarehe 17/10/2017.
Kamishna wa Operesheni
wa Jeshi La Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (kulia), akitoa neno la
shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Walemavu Jenista Mhagama (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu wa Maafa Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya
(aliyevaa suti), na Mratibu wa Darmaert Dkt. Christopher Mzava (kushoto), mara baada
ya kuwasili Kituo cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Ilala, kwa ajili ya kukagua
Mradi wa Uboreshaji wa Taarifa za Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Mifumo ya
utolewaji wa tahadhari za awali (DARMAERT), mapema leo asubuhi tarehe
17/10/2017.
0 Comments