Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida, Novemba
21, 2017 alitembelea Ofisi za Wizara ya Madini za jijini Dar es Salaam na
kufanya mazungumzo na Waziri wa Madini, Angellah Kairuki na Naibu wake,
Stanslaus Nyongo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo fursa za
uwekezaji kwenye Sekta ya Madini nchini.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akizungumza wakati
wa mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto).
Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo
na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni Naibu
Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
0 Comments