
Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela
kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es
salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni
maharusi wakiwa na kaka yao.
Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa.
Bondia Iddi Mkwela na mkewe wakiwa katika picha yas pamoja na ndugu
picha ya ndugu na jamaaa
0 Comments