Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza
mmoja kati ya madaktali wa hospitali ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya
Kilwa, wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya
Marekani, vifaa vyenye thamani ya shilingi za Kitanzania bilioni mbili,
kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma
bora kwa wateja wanaofika hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu
Baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani na
kukabidhiwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na
kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika katika
hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya
matibabu.
Mkuu wa kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi (SACP) Paul Kasabago
(kushoto), akitoa neno la shukurani wakati wa makabidhiano ya vifaa
tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani, kwa lengo la kuboresha
utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika
katika hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya
matibabu.
Picha na Jeshi la Polisi.



0 Comments