Ispekta Said Khama,akisoma hotuba yake wakati wa semina ya kuwapa elimu madereva wa maroli juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi katika siku ya usalama barabarani na kuelekea katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi iliyofanyika Maegesho ya Noremco, Bandarini Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
Mratibu wa Usawa wa Kijinsia kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Jacob Kayombo akiwapa elimu madereva wa malori kuhusia na maambukizi ya virusi vya Ukimwi wakati siku ya usalama barabarani kuelekea katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi iliyofanyika Maegesho ya Noremco, Bandarini Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Usalama wa Afya na Mazingira kutoka Kampuni ya ALISTAR akitoa mada yake juu ya madereva kujiamini pindi wanapokuwa barabarani.
Mwakilishi kutoka Kampuni ya Puma Energy, Rehema Madoffe akielezea kuhusiana huduma wanazozitoa katika Kampuni hiyo.
Baadhi ya madereva wa malori makubwa wakiwa katika siku ya usalama barabarani kuelekea katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi yaliyofanyika Maegesho ya Noremco, Bandarini Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.











0 Comments