Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akizungumza na Waandishi
wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika
kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usajili, Patrick Kipangula na kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Habari na Picha, Rodney Thadeus.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) wakati akielezea
mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano katika kipindi cha miaka miwili ya
uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.
Picha
na Idara ya Habari - MAELEZO


0 Comments