Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na kukata utepe kuashiria kufungua rasmi Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Makamu
wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.
Mizengo Pinda, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi
Dkt. Leornad Akwilapo, na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakielekea sehemu
inakofanyika sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo
Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila
leo Novemba 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali wakati wa herehe
za ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa pole
OCS wa Kibamba Mtakibu wa Polisi (SSP) Pius Lutumo akipata matibabu
wakati akitembelea Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali wakati wa herehe
za ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Bwana Song Geum Yong akisoma
hotuba yake kwa Kiswahili fasaha na baadaye kupongezwa na Rais Dkt John
Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa Hospitali
ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017. Hospitali hiyo
imejengwa na kampuni kutoka Korea Kusini
Mabalozi wakimsikiliza Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na a Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Bwana Song Geum Yong wakifuatiwa na Makamu
wa Rais Mhe. Samia suluhu Hassan, makamu wa Rais Mstaafu Mstaafu Dkt
Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Waziri wa
Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa
nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo na Mwenyekiti wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter
Serukamba wakielekea sehemu ya ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba
ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya
Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharib Bilal baada katika sherehe za ufunguzi
wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Spika Mstaafu na Mwenyekiti wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF
Mama Anne Makinda baada katika sherehe za ufunguzi
wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Picha za Pamoja baada ya ufunguzi
wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Picha za Pamoja baada ya ufunguzi
wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Profesa
Mohamed Janabi baada katika sherehe za ufunguzi
wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga wananchi baada ya sherehe
za ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo Novemba 25, 2017
PICHA NA IKULU

0 Comments