Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA
jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu
baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano
Novemba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani
nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya
kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo
(Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul
Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani
Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa maagizo baada ya kukagua
maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo
Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul
Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani
Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Taswira za maendeleo ya ujenzi
wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama
lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017
Picha na IKULU




0 Comments