Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha
kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na
mdogo wake Asteria wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni
katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio
pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Asteria
wa kwanza (kushoto), na Dada yake Monica Joseph wa kwanza (kulia). Rais Dkt.
Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio
pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake
Asteria wa kwanza kushoto. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji
cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU




0 Comments