Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
aliombatana nao katika Mazungumzo na ujumbe wa Uganda uliokuwa ukiongozwa na
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wa
Tanzania katika mkutano huo wa pamoja na ujumbe wa Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu
mara baada ya kuwasili katika Ikulu ndogo ya Masaka nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ndogo
ya Masaka nchini Uganda.
Rais
wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la mkutano baina ya wajumbe wa
nchi mbili za Tanzania na Uganda katika Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma na kikundi
cha Ngoma za Asili cha Cranes Performance mara baada ya dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika
Ikulu ya Masaka nchini Uganda.
Kikundi
Cranes performance kikitumbuiza katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ajili
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
Ikulu ya Masaka Uganda.
PICHA NA IKULU










0 Comments