Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati
akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani
hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza
wananchi wa Misenyi wakati wakitoa kero zao mbalimbali mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiandika wakati wananchi wa Misenyi walipokuwa wakiwasilisha Kero zao mara
baada ya kusimama wakati akiwa njiani kuelekea katika Kiwanda cha Sukari cha
Kagera Sugar kilichopo wialayani humo.
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akizungumza katika eneo
hilo la Misenyi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipokewa kwa shangwe na Mamia ya wananchi wa Misenyi mara baada ya kuwasili
Wialayani hapo akitokea Bukoba mjini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wafanyakazi (Vibarua) wanaofanyakazi katika Kiwanda cha Sukari
cha Kagera Sugar wakati akielekea kiwandani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
Mitambo ya kuchujia na kuvutia maji kwa ajili ya Mashamba ya Kiwanda cha Sukari
cha Kagera Sugar, mitambo hiyo ipo pembezoni mwa Mto Kagera katika Wilaya ya
Misenyi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salum Kijuu wa pili kutoka kushoto , Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba wa
kwanza (kulia) wakisikiliza mtaalamu wa Kilimo (haonekani pichani) aliyekuwa
akielezea mambo mbalimbali katika mashamba ya miwa katika Kiwanda hicho cha
Sukari cha Kagera Sugar kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mbegu na mbolea
inayotumika katika mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
baadhi ya mashamba hayo ya miwa ya Kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Wilayani
Misenyi mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia Shamba la miwa la Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera Sugar
kilichopo Misenyi mkoani Kagera
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja katika Mashamba hayo ya miwa na viongozi wa Kiwanda
hicho cha Sukari cha Kagera Sugar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu
Salum Kijuu wa kwanza kulia akifatiwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba
na Waziri wa Viwanda Charles Mwijage wa kwanza kulia.
PICHA NA IKULU














0 Comments