Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya
kufanya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri
wa kupiga ngoma pamoja na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika
eneo la Kyotera nchini Uganda.
PICHA NA
IKULU








0 Comments