RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini
Tanzania Balozi Rotlan Paradede alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini
Tanzania Mhe. Rotlan Paradede , alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al
Abdulla Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al
Abdulla Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha akiwa na
Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Ahmed Humuod Al -Habs leo 24/11/2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, akifuatana na mgeni wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania
Balozi Ali Abdulla Al- Mahruq, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha .Picha na Ikulu

0 Comments