Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili ya kutolea huduma
za matibabu kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter katika hafla ya maadhimisho ya siku ya
mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo
vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani
kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kupitia mradi
wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakionyesha vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kwa ajili ya kusaidi Hospitali za Mikoa ya Mtwara na Lindi iliyo katika mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa hafla fupi ya
maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo
la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto
wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Detlef
Wachter. Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt.
Susanne Grimm na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Wedson Sichalwe.
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter
akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto
njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu
yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ)
wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt.
Susanne Grimm akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya
siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka
huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ)
wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef
Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk.
Wedson Sichalwe
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Wedson Sichalwe akielezea
jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia
leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na
Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa
kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa
Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter, Katibu Mkuu Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya na Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt.
Susanne Grimm.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Afya mara
baada ya kumalizika kwa hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti
dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.







0 Comments