Random Posts

TBL Group yafanikisha uzinduzi wa kampeni ya no Excuse !!!!

 Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakiongozwa na Meneja  Mawasiliano , Zena Tenga (kulia) wakishiriki katika matembezi ya hisani,wakati wa uzinduzi wa kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.maadhimisho ya Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake yaliyoanzia  Muhimbili jijini Dar es salaam na kumalizikia katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni . Maadhimisho ya kampeni hiyo yalizinduliwa na Waziri wa Madini Angela Kariuki  (hayupopichani)
 Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group, wakiongozwa na Meneja  Mawasiliano   wao , Zena Tenga(wapili kulia) wakishiriki katika matembezi ya hisani,wakati wa uzinduzi wa kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake yaliyoanzia katika Viwanja vya Muhimbili jijini Dar es salaam na kumalizikia katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni .maadhimisho ya kampeni hiyo yalizinduliwa na Waziri wa Madini Angela Kariuki  (hayupopichani)
 Meneja  Mawasiliano  wa TBL Group , Zena Tenga akishiriki katika matembezi ya hisani,wakati wa uzinduzi wa kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake maadhimisho hayo yaliyoanzia katika Viwanja vya Muhimbili jijini Dar es salaam na kumalizikia katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni . Kampeni hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Madini Angela Kariuki (hayupopichani)
 Meneja  Mawasiliano  wa TBL Group , Zena Tenga akiwa na washiriki wengine wakati wa uzinduzi wa kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake. Maadhimisho hayo yaliyoanzia katika Viwanja vya Muhimbili jijini Dar es salaam na kumalizikia katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni . Kwa kupokelewa na  Waziri wa Madini Angela Kariuki  (hayupopichani)
 Baadhi ya mabalozi na viongozi wa taasisi mbalimbali walioshiriki kwenye  maadhimisho ya uzinduzi wa Kampeni ya kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake. Maadhimisho hayo yaliyoanzia katika Viwanja vya Muhimbili jijini Dar es salaam na kumalizikia katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni . Kwa kupokelewa na  Waziri wa Madini Angela Kariuki (hayupopichani)
 Naibu waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii wazee na watoto , Dkt.Faustin Ndungulile akihutubia wakati wa maadhimisho ya uzinduzi wa Kampeni ya kampeni “NO EXCUSE!!! ACHA SABABU, BADILIKA.Kampeni hiyo ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake ilidhaminiwa na TBL Group katika viwanjwa vya Leadars Club kinondoni jijini Dar es Salaam.  Watatu kutoka kulia ni Waziri wa Madini Angela Kariuki .
 Waziri wa Madini Angele Kariuki (kulia)akitetea jambo na Kaimu mkurugenzi wa shirika la wanawake katika Sheria  na Maendeleo Afrika (WIDAF)Anna Kulaya. Wakati wa  uzinduzi wa kamapeni  NO EXCUSE!!! Ya siku 16 za Kupinga ukatili wa Kijinsiana kuhamasisha jamii kubadilika kuacha vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake.  Uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Madini Angele Kariuki, akihutubia  Wakati wa  uzinduzi wa kamapeni  NO EXCUSE!!! Ya siku 16 za Kupinga ukatili wa Kijinsia na kuhamasisha jamii kubadilika kuacha vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake.  Uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments