Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika Dr. Tulia
Ackson baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kutokea nchini Canada, Novemba 3, 2017.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Sophia Mjema baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere kutokea nchini Canada, Novemba 3, 2017.
(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)


0 Comments