Meneja Masoko Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Aneth Muga akizungumza na
waandishi wa habari katika ofisi za
kampuni hiyo jijini Dar es salaam kuhusina ofa mpya ya bando la Sh 2,000 ambalo
litakua na kifurushi chenye ujazo wa GB 3 kwa siku tatu kulinganisha na awali
ambapo Sh 2,000 mteja alikuwa akipata kifurushi cha GB 1.3 kwa siku.
Angalia Video chini.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akitolea ufafanuzi bando la Sh 2,000.





0 Comments