Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola akizungumza na wananchi ambao mashamba yao yameathirika kutoka na sumu ambayo imeeharibu mazao yao pamoja na viumbe hai.
Moja kati ya wakurugenzi wa Mgodi wa Nyarugusu Mine Co.Limited Fred Masanja akionesha cheti NEMC ambacho naibu waziri alikikataa.
Bwawa la kuhifadhia maji ya kemikali ambalo limeharibika na kusababisha maji mengi kuelekea kwenye shughuli za wananchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Geita wakikagua eneo ambalo lilipasuka na kupeleka maji ya sumu kwenye maeneo ya mashamba ya wananchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola akiangalia baadhi eneo ambalo limepasuka.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akitembelea na kuangalia miche ya miti ambayo imekwisha kuathirika.
]Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi na baadhi ya wananchi ambao wameathirika kutokana na maji Hayo kwenye maeneo ya mashamba.(PICHA NA JOEL MADUKA)
0 Comments