Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) akikata utepe kuzindua kitabu cha (Isemavyo Sheria ya Msaada wa Kisheria 2017), wakati wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam ambapo maadhimisho hayo ufanyika kila mwaka , kila Wiki ya Kwanza ya Mwezi Desemba.
Kauli mbio ya maadhimisho hayo ni;
Msaada wa Kisheria kwa Maendeleo ya Wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisoma hotuba wakati akifungua maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa maadhimisho hayo.
Wananchi wakiwa katika maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipata maaelezo kwa Afisa Sheri kuto Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Exvery Katinda kuhusiana misaada ya kisheri wanayoto kwa wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na mawakili wakujitolea wakati wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Burudani zikiendelea.








0 Comments