Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa
wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya
Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wa tatu kutoka (kushoto), Makamu
Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein wa nne kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho
Kikwete wa kwanza (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi wa pili kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa
wa pili kutoka kulia wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua mkutano wa Tisa
wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein wakati wakipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika
Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya
Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa
kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais
wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua
Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kupiga kura zao kwa
ajili ya uchaguzi wa viongozi hao.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo wa tisa
uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura kwa
moja ya wagombea katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais
Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa
Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao
katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kufungua mkutano wa
Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais
mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mke wa
Hayati Baba wa taifa, Mama Maria Nyerere katika mkutano huo wa Tisa wa CCM
uliofanyika mjini Dodoma.
anachama
wa CCM wakiburidika kwa kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa.
PICHA NA IKULU














0 Comments