Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim
Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga na
Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah
Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na Ujumbe
wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya kuwasili Ikulu pamoja na
ujumbe wake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer wa tatu kutoka (kushoto )
aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika
picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Nishati
Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage pamoja na
Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia).
PICHA
NA IKULU





0 Comments