Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara
baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya Familia Takatifu iliyofanyika katika Kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na waumini
wengine wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki
Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu
katika Kanisa hilo la jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini
wa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam mara baada ya Ibada ya jumapili ya
Familia Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitakiana Heri na
Masista walioshiriki katika Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko
Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis Mendokta
mara baada ya Ibada ya jumapili ya
Familia Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU
0 Comments