Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika Makao makuu ya Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
zilizopo katika Mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha
fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna wa
Maadili, Sekretarieti ya Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold
Nsekela katika Makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo katika Mtaa wa Ohio jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji
Mstaafu Harold Nsekela mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma zilizopo katika Mtaa wa Ohio Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela mara baada ya kuwasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na
Madeni kwa Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kuwasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa
Viongozi wa Umma katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
wananchi waliokuwepo katika jengo la Sukari House wakati akitoka katika katika
Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Jengo la Sukari House lenye Ofisi za
Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma kwa ajili ya kuwasilisha Fomu zake za Tamko la Rasilimali
na Madeni kwa Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wananchi walio simama kando ya barabara inayopita mtaa wa Ohio wakati
akitoka katika Ofisi za za Sekretarieti ya
Maadili ya viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela wakati akitoka katika Jengo la Sukari House lenye Ofisi za Sekretarieti
ya Maadili ya viongozi wa Umma jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka
katika jengo la Sukari House jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU











0 Comments