Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa
Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na
Jeshi la Wananchi mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni
mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakati vikundi vya ngoma vilipokuwa
vikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe
Nyusi katika Ikulu ya Dodoma kabla ya kuanza mazungumzo yao.
PICHA NA IKULU








0 Comments