RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni ,
mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma
Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na
kuzikwa katika makaburi ya kwarara.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, akiika mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama
Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi
ya kwarara Unguja.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika
wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya
Kwarara Zanzibar.
Picha na Christopher Mfinanga

0 Comments