
Naibu
Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) akitoa maelekezo kwa Mgodi wa
Dhahabu wa ZEM Tanzania Company Limited alipofanya ziara mgodini hapo kujionea
shughuli ziazoendelea na kuzungumza na wafanyakazi na wananchi wanaozunguka
mgodi huo. Kulia ni Meneja wa Mgodi, Luo Guiquan.
Angalia Video chini.
0 Comments