Wanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamizeze kata ya Bugando ,Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza,wakionyesha vipaji vyao kwa kusakata kandanda wakati wa kipindi cha michezo , Wazira ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inayo jukumu kubwa la kuviendeleza vipaji vya watoto mashuleni ili kuweze kapata timu ya taifa iliyobora.
(Picha na Albart Jackson)
Wanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamizeze kata ya Bugando ,Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza,wakionyesha vipaji vyao kwa kuruka kamba shuleni hapo wakati wa kipindi cha michezo ,Wazira ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inayo jukumu kubwa la kuviendeleza vipaji vya watoto mashuleni ili kuweze kupata timu ya taifa iliyobora
(Picha na Albart Jackson)
0 Comments