Mwenyekiti wa bondi ya wakurugenzi wa kamapuni ya Plasco Limited, Aunali Rajabali akiongea na wafanyakazi wa kampuni
hiyo wakati wa sherehe ya kufunga
mwaka 2017 iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe jijini
Dar es Salaam.
Mmoja wafanyakazi wa kamapuni ya Plasco Limited, akifafanua jambo wakati wa sherehe ya kufunga mwaka 2017 iliyofanyika
makao makuu ya kampuni hiyo, Chang’ombe
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa bondi ya wakurugenzi wa kampuni ya Plasco Limited , Aunali Rajabali wapili (kulia) akiwa na wafanyakazi wa kampuni
hiyo wakimsikiliza afisa mkuu wa fedha
Unguu Sulay(kulia) akifafanua jambo juu
ya maenedeleo ya kiwanda cha Plasco Limited, wakati wa sherehe ya kufunga mwaka 2017 iliyofanyika
makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe jijini
Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kamapuni ya Plasco Limited,
wakimsikiliza kwa maikini mwenyekiti wa bondi ya wakurugenzi wa kamapuni
hiyo, Aunali Rajabali (hayupo pichani) wakati wa sherehe ya kufunga mwaka 2017 iliyofanyika
makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe jijini
Dar es Salaam.








0 Comments