Mkuu wa
Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akikagua baadhi ya magari 119 ya Jeshi hilo
ambayo yameshawasili bandari ya Dar es salaam, yakiwa ni miongoni mwa magari
777 yaliyoagizwa na Jeshi hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
Simon Sirro, akiwa ameongozana na baadhi ya maofisa wa Jeshi hilo alipofanya
ziara katika bandari ya Dar es salaam, leo kwa lengo la kukagua magari 119 ya
Jeshi hilo ambayo yameshawasili bandarini hapo, magari hayo ni miongoni mwa
magari 777 yaliyoagizwa na Jeshi hilo.


0 Comments