Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mheshimiwa Lolensia Bukwimba akizungumza
katika kikao cha Kamati hiyo ambapo imekutana na uongozi wa Taasisi ya Tiba ya
Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili
ya kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na
utendaji wa Taasisi hiyo. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge
Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa
Mitaji ya Umma (PIC) wakiwa katika kikao
cha Kamati hiyo ambapo imekutana na uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya
kujadili na kuchambua Taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji
wa Taasisi hiyo. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini
Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya
Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)wakati Kamati ilipokutana na Taasisi hiyo kwa ajili ya kujadili na kuchambua Taarifa ya
Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji na utendaji wa Taasisi hiyo.kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI, Profesa William Mahalu. Kikao hicho
kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo
walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu
utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho la wenye Viwanda Nchini (CTI).Kikao hicho
kimefanyika katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments