Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume
kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais na Utawala Bora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alijumuika na Viongozi
pamoja na wananchi Mazizini kwenye msiba wa Marehemu Said Abdallah
Natepe .
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache







0 Comments