Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole akizungumza mara bada ya kikao
chake na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU
0 Comments