Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA IKULU











0 Comments