Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King
Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali msanii
mkongwe King Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika
hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam Januari 31, 2018
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe
Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya
Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018
Picha na IKULU




0 Comments