Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru aliyelazwa kwa ajili ya matibabu katika Wodi ya Mwaisela iliyopo
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali watoto wawili Mapacha
walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisali pamoja na watoto wawili Mapacha
walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi pamoja na wafanyakazi wengine wa
Taasisi hiyo mara baada ya kutembelea wagonjwa waliolazwa Hospitalini hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wapishi wanaofanya kazi ndani
ya Hospitali ya Muhimbili wakati akitoka kuona wagonjwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Kaka wa Profesa Anna Tibaijuka ajulikanye
kwa jina la Richard Kajumulo ambaye amelazwa katika Wodi ya Sewahaji iliyopo
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza jambo na manesi wanaohudumia wagonjwa katika
Wodi ya ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Nasoro Rashid aliyelazwa katika
Wodi ya ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mzee Hamadi Lila aliyekuwa
akilia kwa furaha mara baada ya kumuona Rais alipofika katika wodi ya Sewahaji.
PICHA NA IKULU

0 Comments