Meneja Masoko wa Benki ya TPB, Frank Mushi, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kutangaza majina ya washindi wa droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018,
Meneja Masoko wa Benki ya TPB, Frank Mushi, kulia akitangaza majina ya washindi wa droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018, wanao shuhudia ni Maryana Leonard na Godwin Mtunga.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya TPB,akichanya koponi za washindi wa Droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018,
Picha zote na Prona Mumwi
0 Comments