Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza na waandishi
wa Habari Kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-Bunge mjini Dodoma (hawapo
pichani) kuhusu hatua ya Serikali ya kuanza kulipa madeni ya
malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa Umma, kiasi cha shilingi
bilioni 43.39 kuanzia Februari 10, 2018. Kushoto ni Kamishna
Msaidizi-Bajeti, Bw. Emmanuel Tutuba na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mipango (Utawala) Bi. Susan Mkapa.
(Picha-Wizara ya Fedha na
Mipango)
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza na waandishi wa
Habari Kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-Bunge mjini Dodoma (hawapo
pichani) kuhusu hatua ya Serikali ya kuanza kulipa madeni ya malimbikizo
ya mishahara ya watumishi wa Umma, kiasi cha shilingi bilioni 43.39
kuanzia Februari 10, 2018. Kushoto ni Kamishna Msaidizi-Bajeti, Bw.
Emmanuel Tutuba na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango
(Utawala) Bi. Susan Mkapa, kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mipango wa
Wizara hiyo Bw. Richard Mkumbo.
(Picha-Wizara ya Fedha na Mipango)
No comments:
Post a Comment